Swahili quotes

Wednesday, January 16, 2013

JIULIZE WEWE NI NANI? JITAMBUE....




 JIULIZE WEWE NI NANI? JITAMBUE....

Mimi ni nani? Ni swali lenye msukumo wa ndani. Jina lako si wewe, jina lako haliwezi kujibu; kwasababu jina lako ni jina walilolipenda wazazi wako na wakakupa.
Wewe si mwili wako bali mmiliki wa mwili wako. Wewe si ujuzi wako, wala nafasi yako,wala kabila au rangi yako kwani vyote hivyo vyafanana na mwili wako, wewe ni mmiliki wa ujuzi wako, nafasi yako,rangi yako na hata kabila lako. Wewe ni zaidi ya akili yako, ni zaidi ya ubongo wakao. Mwili wako ni kama chombo, mwili wako si wewe; hata ulipozaliwa si wewe uliyezaliwa bali ni mwili wako, na hata utakapokufa si wewe utakayekufa bali ni mwili wako. Kama ni hivyo basi wewe hujawahi kuzaliwa na wala hutakufa. Swali wewe ni nani?

Kila kitu unachofanya kinakuuliza swali hili; wewe ni nani? Kila kitu kinachotokea katika maisha yako, matatizo na hata mazuri vyote vinakuulza wewe ni nani? Wewe ni nani? Ni nini hicho kilicho zaidi ya mwili wako?, zaidi ya jina lako? Zaidi ya nafasi yako? Zaidi ya cheo chako? Zaidi ya mali zako? Zaidi ya ufahamu wako? Na zaidi ya mazingira yako?

WEWE NI NANI? 

PATA NAKALA YA KITABU HIKI KWA KUFANYA YAFUATAYO...
 1. TUMA EMAIL YAKO KWA NAMBA 0755306799.
 2.  TUMA TSHS.3000 KWA  M-PESA KWA NAMBA 0755306799,
 3.  UTATUMIWA SOFT COPY YA KITABU HIKI; KUPITIA EMAIL YAKO.

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU;0755306799.
EMAIL:gtlivemore@gmail.com

UKITAKA VITABU VINGINE ZAIDI VYA Geophrey Tenganamba, kama;
NAIJUTIA NDOA YANGU, KICHWA CHAKO NI DHAHABU, JITAMBUE, THE RICHEST GOLDMINE IN YOU,THE LOVE OF MY LIFE,NGUVU YA KUJITAJISRISHA ILIYOKO NDANI YAKO, I MARRIED A MONSTER, THE POWER OF A WOMAN NA VINGINE VINGI TUMIA MAWASILIANO HAPO JUU.....


No comments:

Post a Comment