"Naijutia Ndoa Yangu; Sura Ya Kwanza; page one"
Ilikuwa kama ni ndoto, mie kuolewa na mtoto wa waziri mkuu
ambaye alikuwa anaandaliwa kuwa rais kwa miaka ya baadaye. Siku ya harusi yetu
ilikuwa ni balaa, kila magazeti yaliandika habari kuhusu ndoa yetu kwa stail
zao.
Nilikuwa na furaha isiyopimika; kwani kwa hakika nilijua kuwa Benson Mkama
ni mume wangu daima. Padre akauliza” Je unakubali kuwa mke wa Benson Mkama,
katika hali zote za maisha, katika shida na raha; mpaka kifo
kitakapowatenganisha? Nilijibu kwa kujiamini, sikujua kuwa ninaingia
katika makaburi yangu; “Ndiyo ninamkubali”.
Nilihisi kama
naruka angani, bila mabawa. Mbele yangu alikuwa mama yangu, ambaye alikuwa
analia kwa furaha mimi kuolewa na benson. Ni kweli katika familia yetu;
tulihisi kama Yesu amerudi kwa mimi kuolewa na Benson Mkama, tulihisi kukomboka
na tulikuwa na matumaini makubwa kutokana na ndoa yangu. Baada ya padri
kutufungisha ndoa; tulienda mpaka katika ofisi yake; kwaajili ya kusaini vyeti
vya ndoa; na hapo ndipo nilipoamini….
Itaendelea wiki ijayo siku kama ya leo….
PATA NAKALA YA KITABU HIKI NA VINGINE VINGI KWA KUFANYA YAFUATAYO...
1. TUMA EMAIL YAKO KWA NAMBA 0755306799.
2. TUMA TSHS.3000 KWA M-PESA KWA NAMBA 0755306799,
3. UTATUMIWA SOFT COPY YA KITABU HIKI; KUPITIA EMAIL YAKO.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU;0755306799.
EMAIL:gtlivemore@gmail.com
UKITAKA VITABU VINGINE ZAIDI VYA Geophrey Tenganamba, kama;
NAIJUTIA NDOA YANGU, KICHWA CHAKO NI DHAHABU, JITAMBUE, THE RICHEST GOLDMINE IN YOU,THE LOVE OF MY LIFE,NGUVU YA KUJITAJISRISHA ILIYOKO NDANI YAKO, I MARRIED A MONSTER, THE POWER OF A WOMAN NA VINGINE VINGI TUMIA MAWASILIANO HAPO JUU.....
..................................................................................................................

No comments:
Post a Comment